Tuesday, May 17, 2011

MICHAELI SIKAPUNDWA & OLIVER PALANGYO WEDDING'2007

 watoto wasimamizi kwenye sherehe ya bwana na bibi Michaeli na Oliver sikapundwa iliyofanyikia Dodoma .

                          Padre akiwafungisha Ndoa katika kanisa la Roma parokia ya makole.


                                          wakipumzika kwenye bustani nzuri baada ya kutoka kanisani

No comments:

Post a Comment